Thursday, October 6, 2011

UTAMU WA KISWAHILI SANIFU

  • Mahakama hii[sanifu]Mahakama haya[siyo sanifu]
  • Mamlaka haya [uwezo/madaraka]
  • Mamlaka hii [chombo/asasi]
  • Wakala huyu [mtu anayefanya kazi za uwakala]
  • Wakala hii [chombo/asasi inayofanya kazi za uwakalai]
  • Wawakilishi [watu wanaowakilisha]
  • Wawasilishaji [watu wanaowakilisha]
  • Maombi [wingi]/Ombi [umoja]
  • Wimbo [sanifu]/Mwimbo [siyo sanifu]